Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
12:52 PM
INASEMEKANA
WATU WAMEJERUHIWA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA KONA KALI YA
MKANYAGENI IKIHUSISHA GARI YA ABIRIA AINA YA COSTA ILIYOGONGANA USO KWA
USO NA SCANIA SEMITRELA
KWA MUJIBU WA MASHUHUDA WA TUKIO HILO WANASEMA KATIKA AJALI HIYO COSTA IMEKATIKA KATI KWA KATI NA WATU WALIOJERUHIWA WAPO KWENYE COSTA HIYO
COSTA INAYOFANYA SAFARI ZAKE TOKA TANGA MJINI KUELEKEA LUSHOTO NA SCANIA ILIYOKUWA INATOKA MKANYAGENI,
HABARI
ZINASEMA IDADI HIYO YA MAITI INAWEZA ONGEZEKA MUDA WOWOTE KWANI HALI ZA
MAJERUHI NI MBAYA MNO AMBAPO CHANZO CHA AJALI KIMESEMWA KUWA NI MWENDO
KASI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: