Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
12:54 PM
Baba
huyo akizuiwa ili asiendelee kushusha kichapo hicho. Kwa mujibu wa
mashuhuda wetu, tukio hilo lilijiri juzikati, maeneo ya
Mwananyamala-Komakoma jijini Dar ambapo awali binti huyo ambaye ni
msanii chipukizi wa kuigiza aitwaye Jeniffer alidaiwa kupigwa mkwara na
baba yake kuwa asijishughulishe na masuala ya muvi na badala yake
ajikite kwenye masomo yake kufuatia tasnia hiyo kuhusishwa na skendo za
ngono.
Ilidaiwa
kwamba, Jeniffer alikaidi amri ya mzee wake huyo na kwenda kinyemela
kurekodi vipande kadhaa vya muvi ya kikundi chao ambapo taarifa
zilimfikia baba yake huyo na kuamua kutimba lokesheni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: