MKURUGENZI WA BLOG YA UJIJIRAHAA ZIARANI KATIKA MIKOA YA TANZANIA NA WASAIDIZI WA SHIRIKA LISILO LA KISEREKALI WAKITEMBELEA VITUO VYAO .

 Safari ilianzia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. kuelekea Mwanza .(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mkurugenzi wa Blog ya UJIJIRAHAA.
 Nikiwa angani katika pozi
Nikiwa nashuka na abiria wenzangu Mjini Mwanza majira ya jioni.

 Nikiwa nimepozi huku abiria wenzangu wakiwa wana panda gari tayari kwakutoka Nje ya Uwanja na kuendelea na Safari ya mimi kuelekea Maeneo ya Bugando nilipo fikia kwa ndugu zangu. kupumzika .
 Nikipata Picha na Abiria wenzangu mara baada ya kuwasili Mwanza.
  Hapa ni Asubuhi  kuelekea Wilaya ya Magu. Safari ya kuanza kutembelea vituo hivyo.

 Mkurugenzi wa Blog ya UJIJIRAHAA, nikielekea Bukoba.
 Picha ya pamoja  ya wasaidizi wa Kisheria Wilayani Karagwe Kagera, wakiwa na wateja wao.
 Vikundi vya Ujasiliamali Wilayani Karagwe, wakifurahiya baada ya kikao chao na wasaidizi wa Kisheria kufanya Kikao cha pamoja , ambao waliokuwa na Matatizo mbalimbali , yakiwemo ya Migogoro ya Ardhi , naMigogoro ya kifamilia.

 Pichani  ni Picha ya jengo la Kanisa  ambalo liliharibiwa katika Vita ya kumpiga Idd Amini wa Uganda alipo ivamia Tanzania mnamo miaka ya 79, katika eneo la Kyaka  Mto Kagera , Wilaya ya Bukoba Mkoa wa Kagera.
 Nilibahatika kukanyaga Ardhi ya Karagwe, Pichani  nyuma yangu  ni Picha ya jengo la Kanisa  ambalo liliharibiwa katika Vita ya kumpiga Idd Amini wa Uganda alipo ivamia Tanzania mnamo miaka ya 79, katika eneo la Kyaka  Mto Kagera , Wilaya ya Bukoba Mkoa wa Kagera.
 Nikionyesha Kibao kilicho andikwa Karagwe, nahapo nilikula Kitu kinachoitwa Ngonja kwa Nsenene, ni aina ya ndizi ambazo hakuna zinapopatikana kwa urahisi ila ni hapo tu, hakika nilifurahi kula Ngonja kwa Nsenene , nikitu ambacho sijawahi kula , kwangu ilikuwa ni mara ya kwanza. hakika ni tamu sana.
 Nikitoka Uwanja wa Ndege wa Bukoba kuja Mwanza .
 Picha tofauti nilizo zipiga nikiwa angani, nikitokea Uwanja wa Ndege wa Bukoba kwenda uwanja wa Ndege wa  Mwanza.


 Picha niliyo ipiga nikiwa Ndani ya Ndege yenye ujumbe , unao kataza kuvuta Sigara ukiwa ndani ya Ndege.
 Najianda kuingia katika Ndege ya Fastjet nikitokea Mwanza kwenda Dar.
 Ni kiingia katika Ndege ya Fastjet nikitokea Mwanza kwenda Dar.
Baadhi ya  Picha nilizo zipiga nikiwa angani.


Nilipo tuwa katika Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaa.

0 comments: