WATU WENGI WAFURAHISHWA NA HUDUMA NZURI KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI NANE NANE MBEYA
Baadhi ya waliofika katika Banda la Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji wakiwa wanasoma Vitabu mbalimbali katika Banda hilo.
Zakaria Mahinya anayehusika na maswala ya 'Information Technology' Kutoka Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji akiwa anatoa maelezo juu ya kujiunga na Chuo hicho pia kueleza jinsi ya kupata fomu hizo pamoja na maelezo ya kujiunga na chuo hicho katika mtandao wa Chuo hicho.
Juma Mgalama mfanyakazi wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji akionesha baadhi ya masomo ambayo yanatolewa na chuo hicho Mwaka huu kwa ngazi ya Cheti na Stashahada
Picha na Mbeya yetu
0 comments: