SHEREHE YA KITCHEN PARTY YA NEEMA YA MWANGWALA YAFANA KATIKA UKUMBI WA JM MOTEL FOREST MPYA JIJINI MBEYA
Neema Mwangwala akiwa katika Picha ya pamoja na dada zake pamoja na Rafiki zake
Neema Mwangwala akiwa anasalimiana na Mzaa Chema mama yake Mzazi na Kumshukuru katika Sherehe yake ya Kitchen Party.
Neema Mwangwala kwa Heshima kubwa huku akiwa amepiga magoti akiwa anatoa neno la Shukurani kwa maneno aliyopewa na ambayo yatakuwa ya msingi katika Kujenga Familia yake.
Mwenyekiti Kamati ya Mapambo Helieth akiwa anatoa neno kwa Neema Mwangwala wakati wa Sherehe yake ya Kitchen Party.
Kwa mwendo huu hapa wapiga picha kazi watakuwa nayo maana kila mtu mpiga picha, Mambo ya Sefie, mambo ya Whatsapp, Instagram , Facebook, Twitter yamehusika sana hapa .. ukodak wa Nguvu twende kazi.
Neema Mwangwala akimlisha Keki mama yake Mpenzi kwa ishara ya upendo
Mama Mzazi wa Neema Mwangwala akimlisha keki Binti yake mpendwa kwa ishara ya upendo na kumtakia Maisha Marefu na afya njema.
Sherehe akiwa inaendelea watu wakiwa wanapata Ukodak wa Nguvu
Muda wa Chakula.. Neema Mwangwala akiwaongoza wageni waalikwa katika kupata Chakula wakati wa sherehe yake ya Kitchen Party
Sasa Muda wa sikelewuu... Ngololo.... Kwaito burudani zaidi .. kila mtu na Style yake wakati wa Sherehe za Kumfanyia Kitchen Party Neema Mwangwala
Wageni Mbalimbali wakiwa katika Kitchen Party Hiyo
Picha zote na Mbeya yetu Blog.
0 comments: