Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
11:25 PM
Beki
Bacary Sagna kutoka Arsenal akiwa ameshika jezi namba tatu
aliyokabidhiwa katika timu yake mpya, Manchester City baada ya kujiunga
nayo tasmi jana na kuanza mazoezi Uwanja wa Etihad mjini Manchester.
Samir Nasri akimtambulisha mchezaji menzake wa zamani wa Arsenal, Bacary Sagna kwa kocha wao Pellegrini
Wameungana tena: Wafaransa hao wawili awali walicheza pamoja Arsenal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: