KAPOMBE AKIMWAGA CHOZI LA KIUTU UZIMA BAADA YA TIMU YA TAIFA KUPOKEA KIPIGO NA MAMBA WA MSUMBIJI

Ni mapenzi kwa timu ya taifa ya nchi yake ndiyo yaliyosababisha Kapombe amwage machozi kwani licha ya kujitaidi kwa hali na mali kunusuru kipigo lakini ilishindikana. Marefa wa Kiganda walichangia kwa kiasi kikubwa kuua ndoto za ushindi kwa timu ya Tanzania. Kwahiyo hadi mwisho wa mchezo Tanzania 1 na Msumbiji 2. Tanzania wajipange sasa kwani kwa mtaji huu kimeshanuka.
Samatta nae kama Kapombe chozi chapa chapa

0 comments: