Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:55 AM
Rais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki
Rais
Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad
Membe, Balozi wa Tanzania Marekani Mhe Liberata Mulamula na Bi Rose
Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora wakijadiliana jambo meza
kuu
Viongozi
wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho
Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini
Washington DC
Viongozi
wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho
Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini
Washington DC
Viongozi
na wanachama wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini
Washington DC
Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV
Sehemu ya wanajumuiya na wageni toka sehemu mbalimbali wakiwa katika mkutano huo
Washiriki wa mkutano huo
Wanajumuiya wakiwa wametulia mkutanoni
Wanajumuiya
Wanajumuiya toka kila kona ya DMV na sehemu mbalimbali za Marekani
Sehemu ya viongozi wa Jumuiya na wanajumuiya
Wote wametulia wakifuatilia kinachoendelea
Wanajumuiya
Wanajumuiya
Wanajumuiya
Sehemu ya nyomi ya wanajumuiya
Wanajumuiya pamoja na baadhi ya viongozi
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bw Charles Singili akiongea na kunadi bidhaa mpya ya Diaspora Banking ambayo benki hiyo imeanzisha
Mwanajumuiya akiomba ufafanuzi wa maswala kadhaa yanayowasibu
Wanajumuiya wakifurahia jambo
Swali toka kwa mwanajumuiya
Wanajumuiya wakisikilia kwa makini kinachoendelea
Mwanajumuiya akiuliza swali
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akifafanua mambo kadhaa kuhusu Diaspora Banking
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akiendelea kutoa ufafanuzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akieleza faida za Diaspora Banking
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akiongea
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akifafanua jambo
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akiongea
Rais Kikwete akifafanua jambo. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Balozi Mulamula
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast Gerald Hand akirekebisha mitambo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akifafanua jambo
Rais wa
Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akimtambulisha Bi Rose Jairo,
Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa
Nyomi
Mawziri na wabunge waliohudhuria
Sehemu ya waliohudhuria
Rais Kikwete akihuytubia wanajumuiya wa DMV
Hotuba ikiendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: