MWENGE UKIKIMBIZWA KINONDONI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenge wa Uhuru Kitaifa ukikiwa Turiani Secondary School Dar es Salaam leo, (PICHA NA KHAMISI MUSSA).Mmiliki wa Blog ya  UJIJI RAHAA
 Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan akiwa na viongozi mbalimbali,katika kuukimbiza  Mwenge wa Uhuru Kitaifa ukiwa, Turiani Secondary School Dar es Salaam leo.
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda, akiongea na wananchi mara mwenge ulipofika tatika Shule ya  Turiani Secondary School Dar es Salaam leo.
 Mwenge wa Uhuru ukitolewa  tatika Shule ya  Turiani Secondary School Dar es Salaam leo, ukielekea kata ya Makurumla. 







 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda (watatu kushoto), akimkabidhi kitambulisho cha Taifa, Abdallh Chatoo (kulia), Mwembe Chai, Dar es Salaam leo, wakati mwenge huo, ulipopita wakati ukimbizwa, wilayani Kinondoni. Wapili kushoto ni Ofisa Msajili wa Vitambulisho vya Taifa wilayani humo, Dickson Mbanga na katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jordan Rugimbana.
 Mkuu wa Wilaya , Jordan Rugimbana, naye akichangia Saccos hiyo Milioni 1.
  wananchi wa kata ya Makurumla  mara alipo zinduwa Saccos

 Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusufu Mwenda akiongea na wananchi wa Makulumla na kuichangia Saccos hiyo Milioni 10.



0 comments: