MKUU WA MKOA SAID MECK SADIKI, AONGOZA WANANCHI KUUPOKEA MWENGE WA WA UHURU DAR ES SALAAM LEO

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki leo, mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zamani, ukitokea mkoani Pwani.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA),Mmiliki wa Blog ya www.ujijirahaa.blogspot.com
Fungua ukurasa wenye herufi kubwa. (UJIJI RAHAA) 
  Vijana, wakazi wa Chanika wakiupokea Mwenge wa Uhuru, uwanjani hapo.
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda (kushoto), akikabidhiwa risala na Katibu wa Asasi ya Chagua Maisha (Achama), Emanuel Msinga, mara baada ya kuzinduwa kituo hicho, Chanika Tungini, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. na wapili kulia akipiga makofi ni Diwani Kata ya Chanika Abdillahi Mpate .
  Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,  Rachel Kassanda, akifunua pazia wakati akizindua mradi wa kituo cha Afya cha Tikaya Health Centre, Chanika jijini Dar es Salaa, baada ya mwenge huo kukimbizwa maeneo hayo leo.
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda (kulia), akimpatia Laila Juma chandarua chenye dawa kwa ajili ya mtoto wake.

 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda, akizinduwa Kituo cha  asasi isiyo ya kiserikali cha  Chagua Maisha (Achama), mara baada ya kuzinduwa kituo hicho, Chanika Tungini, Dar es Salaam leo.
 Mwanachama wa Chagua Maisha, Elizabeth Kaningu (aliye vaa flana ya kijani kushoto) na mwakilishi wa watu wnaoishi na Virusi vya Ukimwi Johari Sadiki , wakiwa mbele ya meza yenye mboga za majani na sanduku dogo ambapo ni moja ya miradi ikiwemo mradi wa Vikoba.kulia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Chagua Maisha, Laurence Limwata


 Katibu wa Asasi ya Chagua Maisha (Achama), Emanuel Msinga, akisoma risala mara Mwenge ulipo fika katika kituo hicho


 .Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa,  Rachel Kassanda (wapili kushoto)  ,katika Picha ya pamoja mara  alipozindua mradi wa  kituo cha Afya cha Tikaya Health Centre ,kilichopo Chanika Dar es Salaa leo, ambapo Mwenge ulipita katika kituo hicho,(kushoto ni) Mkurugenzi wa kituo hicho ,kulia ni  Mkurugenzi Utawala na Fedha ,mke wa mmiliki wa Zahanati hiyo na pamoja na watoto wa Mmiliki wa kituo hicho. 


 Kikundi cha vijana toka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala wakisherehesha wakati wa kuwasili kwa mwenge wa Uhuru uliokabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik kutoka kwa mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza  Leo Jijini Dar es Salaam

 Kikundi cha vijana toka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala wakisherehesha wakati wa kuwasili kwa mwenge wa Uhuru uliokabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik kutoka kwa mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi. Mwantumu Mahiza  Leo Jijini Dar es Salaam
 Askari wa FFU ,wakiwa kazini





 Mkuu  wa Mkoa Dar es Salaam Said Meck Sadik, akisoma risala





0 comments: