VIGOGO WANNE WA WA VIUNGO VYA BINADAMU IMTU WAPANDISHWA KORTINI DAR






 Hapa baadhi ya vigogo hao wakiwa ndani ya gari la polisi.
 Maofisa wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam leo, baada ya kusomewa mashitaka ya kushindwa kuizika kwa heshima miili ya binadamu na kuonesha cheti kinachodhibitisha uzikaji wa miili hiyo.  Baada ya kusomewa mashitaka yao  waliachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena.


 Hapa wakisindikizwa na askari polisi kwenda kupanda gari kurudishwa mahabusu ya Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati.
Mmoja wa watuhumiwa hao akimsaidia mwenzake kupanda katika gari la polisi.

0 comments: