Bango la wafanya Biashara wakiwa wameweka na lenye maandishi yanayo Someka Hatutaki Mashine za T.R.A Kodi bila mashine Inawezekana
Mfanya Biashara akihesabu Pesa alizopewa na mnunuzi wa nguo hizo,wapili (kulia) alie jifunga kitambaa cheusi Eneo la Mtaa wa Kongo leo Ambapo wafanya Biashara wa Kariakoo wakiwa wamefunga Maduka kutokana na Kuzigomea Mashine za Elektroniki za Mamlaka ya Mapato (TRA)
Mmoja wa wafanya Biashara akiongea na waandishi wa Habari Mtaa wa Kongo leo,Akiikumbusha Serekari kua Mwaka jana Ilitoa tamko, Makusanyo yaliongezeka na Kuvuka Lengo la ukusanyaji Mapato bila Mashine zao za Elektronik na Mshine hizo ziwe Kandamizi
Wafanya Biashara Ndogondogo na wafanya kazi wa Maduka hayo wakiwa na nyuso za Huzuni Baada ya wamiliki wa Maduka kugomea mashine za Elektronik za Mamlaka ya Mapato(TRA)
Wateja wakiwa wanachagua Nguo Mtaa wa Kongo Dar es Salaam na Huku wafanya Biashara wakigomea Mashine za Mamlaka ya Mapato
Mmoja wa wafanya Biashara Bwana Lucas Mlam Akiongea na waandishi wa Habari kwa swala la Mashine kua ni Bei kubwa na nyingine ni Mbovu mtaa wa Agrey leo
Maduka yakiwa yamefungwa
Wenye mikokoteni wakiwa katika huzuni kwakukosa wateja Mtaa wa Agrey
Wafanya Biashara wa Kihindi wakiwa na nyuso za huzuni
Mfanya Biashara wa Studio ya A TO Z,Akiungana na Wafanya hao
Wenye mikokoteni wakiwa katika huzuni kwakukosa wateja Mtaa wa Agrey(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: