Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa NEC/CCM, Dk. Asha Rose Migiro 9katikati) akipiga picha ya kumbukumbu na wazee hao.
Katibu wa NEC/CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa amekaa na baadhi ya wanachama wa shina namba moja linaloongozwa na Mjumbe Magreth Mtaula eneo la Mfaranyaki, mjini Songea leo. Kinana alitembelea shina hilo leo.
Katibu wa NEC/CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa amekaa na baadhi ya wanachama wa shina namba moja linaloongozwa na Mjumbe Magreth Mtaula eneo la Mfaranyaki, mjini Songea leo. Kinana alitembelea shina hilo leo.
Bibi Rose Haule akiwa na mwanawe huku akipeperusha bendera wakati wa mapokezi ya msafara wa Kinana eneo la Mletele Songea mjini leo.
Kinana akisaidia kupiga lipu moja ya vyumba vya madarasa vinavyojengwa katika Shule ya Sekondari Mdandamo Songea Mjini leo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakiungana na Kinana kuweka mazingira safi katika ujenzi wa Zahanati ya Mahilo, Songea mjini leo.
Nape akizungumza na mmoja wa wanachama wa CCM, Felix Komba katika Kata ya Matogoro Songea Mjini leo.
Wafuasi wa CCM wakiwa katika mkutano wa Shina namba moja ambapo Kinana alitembelea shina hilo na kuzungumza na wanachama.
Mwasisi wa Tanu na CCM, Mustafa Songambele akisalimiana na Kinana alipokutana naye katika Shina la CCM namba moja eneo la Mfaranyaki, Songea Mjini Leo.
Nape akisalimiana na Mzee Songamele
Kinana akaimkabidhi mmoja wa vijana wapya wa CCM baada ya kuzindua tawi jipya la Dk. Asha Rose Migiro, eneo la Mfaranyaki, Songea mjini leo.
Kikundi cha Sanaa kikitumuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tawi jipya la Vijana wa CCM la Dk. Asha Rose Migiro, eneo la Mfaranyaki, Songea Mjini leo.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
0 comments: