ASKARI AKIWA KAZINI NA DEREVA WA BAJAJI BAADA YA KUVUNJA SHERIA ZA BARABARANI

  Askari  wa usalama Barabarani akiongea na Dereva wa Bajaji yenye namba za Usajili  T 963 CKD,Baada ya Dereva huyo kukiuka sheria za Barabarani,  Eneo la Samora na Kumuamuru Dereva huyo awashushe Abiria hao wawili wakigeni (wazungu)na Kwenda kituoni.

Abiria wakishuka toka kwenye Bajaji Hiyo Barabara ya Samora (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa  www.ujijirahaa.blogspot.com

0 comments: