SHIBUDA WA CHADEMA ATINGA MKUTANO WA CCM MEATU


 Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, John Shibuda (katikati) akikumbatiana kwa furaha na Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mwanhuzia, wilayani Miatu, Mkoa wa Simiyu.Kulia ni Katibu wa
tikadi na Uenezi, Nape Nnauye.Katika mkutano huo Shibuda aliseama kuwa viongozi wa vyama vya siasa wasirumbane kwa matusi bali washindane kwa hoja.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Shibuda akisindikizwa na wafuasi wa chama chake cha Chadema kuingia kwenye mkutano wa hadhara wa CCM.
 Nape akikumbatiana na Shibuda
 Nape akikumbatiana kwa furaha na Nape
 Nape akitangaza uwepo wa Shbuda katika mkutano huo
 Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati Shibuda akihutubia katika mkutano wa CCM
 Shibuda na Kinana wakiwatuliza mzuka wafuasi wa vyama hivyo viwili waliopagawa wakati Shibuda akihutubia
 Kinana akimsindikiza Shibuda baada ya mkutano huo kumalizika

Nape akimsindikiza Shibuda baada ya mkutano huo kumalizika.

0 comments: