MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOA NEEMA KWA KIKUNDI CHA JOGGING TEMEKE

 Mbunge wa jimbo la temeke  Abbas Mtemvu akisalimiana na viongozi wa temeke Jogging mara alipo wasili katika ofisi za ccm temeke mwisho.

 Wanachama wa Jogging wakifurahia kwa Mbunge wa jimbo la temeke  Abbas Mtemvukwakukubali kwake kua mlezi wa Jogging .
 Mwnyekiti wa Temeke Jogging,Mussa Mtulia akimkaribisha  Mbunge wa jimbo la temeke  Abbas Mtemvu kuongea na wanachama wa Jogging na kukubali kwake rasmi kua mlezi wa Jogging na amekabihi jezi 200 na 200000.na kwawalev wadogo ameomba apewe wiki 2.















(PICHA ZOTE NA( www.ujijirahaa.blogspot.com)
((pp

0 comments: