KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL) YAKABIDHI FLANA 800 NA STIKA KWA KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MOHAMED MPINGA KWA MAANDALIZI YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA ITAKAYO FANYIKA KITAIFA JIJINI MWAZA WIKI IJAYO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:51 AM
Askari wakiwa katika msitari kwa kumsubiri kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani. (PINA NA KHAMISI MUSSA)
kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga akisalimiana na Mkurugenzi wa Uhusiano na sheria(TBL) Stephen Killindo mara alipo wasili makao Makuu ya Trafiki Dar es Salaam,anae shuhudia katikati ni Afisa Uhusiano wa (TBL)Dorris Malulu.
Afisa Uhusiano wa (TBL)Dorris Malulu Akifungua rasmi hafla fupi ya makabidhiano ya Tisheti na stika kwa kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga iliofanyika makao makuu ya Trafiki kwaajili ya Wiki ya Nenda kwa usalama itakayo fanyika Kitaifa Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria (TBL), Stephen Killindo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga moja ya fulana 800 Dar es Salaam jana. Fulana hizo ni kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika kitaifa mjini Mwanza Septemba 23 hadi 27 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: