 |
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na mkurugenzi wa Mkubwa na wanawe |
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiwa
katika picha ya pamoja na kikundi cha Mkubwa na wanawe
alipokwenda kuizindua studio na kuwasaidia kikundi hicho
temeke Dar es Sallam
 |
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizindua Studio ya Mkubwa na wanawe mtaa wa BMC Temeke Mikoroshini Dar es Sallam (kulia ) Mkurugenzi wa
Mkubwa na wanawe Saidi Fella
|
Msani wa kikundi cha Mkubwa na Wanawe Roti Mela mbele ya Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu
Msani wa kikundi cha Mkubwa na Wanawe Roti Mela akiburudisha mbele ya Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu mara alipo kwenda kuwatembelea na kuwachangia Dola Elfu moja na kuwalipia kodi ya pango ya mwaka mmoja
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiwa ameshika Dola kwaniaba ya kukabidhi kikundi hicho
Dola Elfu moja akikabidhi Dola Elfu moja kwa Getruda Ally ,kwa jina la kisanii (Ge2)
Getruda Ally akionyesha Dola Elfu moja zilizo tolewa na Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu kwaniaba ya kukiinua kikundi hicho Huku akijianda kwenda uwanja wa ndege wa mwalim Julius Kambarage Nyerere
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiwa
katika picha ya pamoja na kikundi cha Mkubwa na wanawe
alipokwenda kuizindua studio na kuwasaidia kikundi hicho
temeke Dar es Sallam
0 comments: