MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO ATEMBELEA BANDA LA ALUMINIUM AFRICA LTD(ALAF LIMITED) KATIKA MAIONESHO YA NANE NANE MBEYA


MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO AKIPATA MAELEZO KUHUSIANA NA MABATI YA ALAF LIMITED KUTOKA KWA BWIRE MANYONYI
 MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO  AKIPATA UFAFANUZI KATIKA KIPEPERUSHI NA BWIRE MANYONYI WA KWANZA KULIA.


MENEJA WA ALAF LIMITED TAWI LA MBEYA NDUGU GRAYSON MWAKASEGE  AKITOA MAELEZO KWA WATEJA JUU YA BIDHAA ZAO
 WATEJA WALIOINGIA KATIKA BANDA LA ALAF LIMITED WAKISIKILIZA KWA UMAKINI JUU YA VITU VYAO VYA UJENZI 


 MENEJA WA ALAF LIMITED TAWI LA MBEYA NDUGU GRAYSON MWAKASEGE  AKITOA MAELEZO KWA WATEJA JUU YA MOJA YA MABATI YAO IMARA YA ALAF LIMITED.
 HILI NDILO BANDA LA ALAF LIMITED LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE MBEYA 

HII NI MIHURI MIKUU MITATU AMBAYO IPO KUTAMBULISHA UBORA WA BIDHAA KUTOKA KAMPUNI YA ALAF

KUTOKA KUSHOTO NI CASTRO WILLIAM, BWIRE MANYONYI NA GRAYSON MWAKASEGE 

***
KUANZIA MWEZI WA TISA MWANZONI BIDHAA ZOTE KUTOKA ALAF LIMITED ZITAANZA KUZALISHWA KATIKA MKOA WA MBEYA , MWANJELWA JIRANI NA GODAUNI LA (TFA)
KWA TAARIFA ZAIDI INGIA HAPA: 


USIKOSE KUTEMBELEA BANDA LAO LA NANE NANE MBEYA 
You might also like:

0 comments: