Baada ya swala wakimsikiliza Sheikh, Imamu wa msikiti wa Manyema(pichani hayupo)
Wananchi Wakijipatia mahitaji ya maandalizi ya sikukuu ya Idd el fitri
Mchuuzi akiwasubiri wateja
Chagua chagua katika maandalizi ya Idd el fitri
Katika harakati za kuvuka mataa ya buguruni katika kituo cha chama kwenda katika maandalizi ya sikukuu
Mfanya biashara wa nyama, akiwauzia wateja kwa mafungu sh (2000) na kwakila kipande sh (500)
Waumini wakiswali swala ya Idd el fitri katika viwanja vya mnazi mmoja
Waumini wakiswali swala ya Idd el fitri katika viwanja vya mnazi mmoja na wakiwa wamerukuu
Waumini wakiswali swala ya Idd el fitri katika viwanja vya mnazi mmoja na wakiwa katika SijdaBaada ya swala wakimsikiliza Sheikh, Imamu wa msikiti wa Manyema(pichani hayupo)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: