Katibu Mkuu na Naibu wake wapokelewa kwa Shangwe Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo

PIX4 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga mwenye nguo nyekundu akipokea zawadi ya maua kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Magazeti la Serikali (TSN) wakati wa hafla ya mapokezi ya kumkaribisha Katibu Mkuu huyo leo jijini Dar es Salaam PIX5 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga mwenye nguo nyekundu akipokea zawadi ya maua kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bibi Mwanakombo Jumaa katika hafla ya kupokea uongozi mpya leo jijini Dar es Salaam. PIX8 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga kulia akiwa ameshikana mkono na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bwana Seth Kamuhanda.Tukio hili limefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya makabidhiano rasmi ya ofisi  PIX9 Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seth Kamuhanda akikabidhiwa zawadi ya picha kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara hiyo Profesa Hermas Mwansoko leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya kupokea viongozi wapya na kukabidhi ofisi.Kulia ni Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga PIX10 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga mwenye nguo nyekundu akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara hiyo Profesa Hermas Mwansoko leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya kupokea viongozi wapya na kukabidhiwa ofisi. PIX12 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Seth Kamuhanda (katikati) akiteta jambo na Katibu Mkuu mpya wa wizara hiyo Bibi Sihaba Nkinga (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Profesa Elisante Ole Gabriel (kulia) pix16Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifurahi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambao wameteuliwa hivi karibun

0 comments: