SHEREHE YA KUAGWA EDNA MHINA ILIO FANYIKA KATIKA UKUMBI WA BEST CHOICE TABATA AROMA DAR ES SALAAM.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:52 AM
Ukumbi wa Bebt choice kwandani ulivyo
Edna Muhina katika pozi katika sherehe yake ya kuagwa
Dada wa Edna
Edna akishuka toka kwenye gari baada ya kutoka Saloon
Bi harusi mtarajiwa Edna mhina akiwa na matroni Florence Maro wakiwa katika Pozi
Bi harusi mtarajiwa Edna mhina akiwa na matroni Florence Maro wakiwa katika Pozi
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya mishipa na fahamu na upasuaji wa ubongo (MOI )wakiwa katika sherehe ya kumuaga mfanyakazi mwenzao Bi harusi mtarajiwa Edna mhina
Wapambe wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya kuagwa Bi harusi Edna mhina
Mama mzazi wa Bi harusi mtarajiwa mrs mhina
Wazazi wa wa Bwana harusi wakiingia ukumbini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: