Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt.
John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Profesa Anna Tibaijuka bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja
vya bunge Mjini...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: