BAA YA SAMAKI SAMAKI IKITEKETEA KWA MOTO LEO


Hii ndiyo Baa ya Samaki Samaki ikiteketea kwa moto leo baada ya kutokea Hitilafu ya Umeme wakati baa hiyo ilipokuwa ikibomolewa leo ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo inayoendelea kujengwa, ambapo eneo hilo linatarajiwa kujengwa 'Service Road', ambapo ilitokea shoti ya umeme na kuteketeza jengo hilo. Picha na Mpiga Picha Wetu

0 comments: