MABONDIA IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ IDDY MNYEKE WAENDELEA NA MAZOEZI KWA AJILI YA MECHI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:38 AM
Bondia
Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa
mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia
hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa
mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D
Bondia
Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa
mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia
hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa
mwezi mtukufu wa Ramadhani kulia ni kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli
‘Masta’ Picha na BLOG YA SUPER D
Bondia...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: