Kwa nini Mbowe alazimishwe kuwasilisha ushahidi bomu la Arusha?


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Ukitaka asali, Jiandae kukabiliana na Nyuki! Na Bryceson Mathias   HIVI karibuni Jeshi la Polisi lilimtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuwasilisha ushahidi unaoituhumu Polisi kuhusika na mlipuko wa bomu lililolipuka katika mkutano wa chama hicho viwanja vya soweto, jijini Arusha Juni 15, mwaka huu. Wakati Polisi ikiendeleza Shuruti hiyo, tayari CHADEMA kilishakataa kutoa ushahidi huo kwa polisi kikidai kinamtaka Rais Jakaya Kikwete aunde tume huru ya Kijaji itakayosikiliza shauri hilo. Ijapokuwa Mbowe na Chama chake kililituhumu Jeshi hilo kuhusika na...

0 comments: