RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MIILI YA WANAJESHI SABA WALIOKUFA DAFUR

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe,Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki

                             baadhi ya wafiwa na wajane wa wanajeshi hao, wakati wa hafla hiyo
                                 Bendi ya wanajeshi wakitoa Nyimbo za Maombolezo wakati wa Hafla hiyo
Baadhi ya Wanajeshi wakiwa na nyuso za Huzuni wakati wa Hafla ya kuagwa wanajeshi wenzao.

Baadhi ya Wanajeshi wakiwa na nyuso za Huzuni wakati wa Hafla ya kuagwa wanajeshi wenzao.
                              Katika kuhakikisha usalama zaidi jeshi la polisi halikubaki nyuma
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha         Mapinduzi (CCM), Abdurahman Kinana wakati wa hafla hiyo
Makamu wa Rais,DR ,Mohamed Ghrib Bilal Akisaini Kitabu cha maombolezo  katika hafla ya                             kuiaga Mmiili  ya wanajeshi  Saba wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Makamu wa Rais,DR ,Mohamed Ghrib Bilal Akisalimiana na makamanda wa Jeshi la wananchi katika hafla hiyo

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki Mara alipo wasili Makao makuu ya Jeshi katika Hafla ya kuiaga miili ya Wanajeshi hao
Rais Jakaya Kikwete Akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Shamsi Vuai Nahodha katika Kiwanja  cha  Makao Makuu ya Jeshi mara Alipo wasili katika  Hafla ya kuiaga miili ya Wanajeshi hao


Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo ya wanajeshi saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliofariki Darful nchini Sudan,












0 comments: