BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) WAFUTARI


 ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe, (kulia) na MKurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Juma Amour,alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani hoteli alipoalikwa Futari na Uongozi wa Benki. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Abdalla Mwinyi Khamis, (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe,na MKurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Juma Amour,(kushoto)wakiwa katika  Futari iliyotayarishwa na Benki ya Watu wa Zanzibar katika Ukumbi wa Bwawani Hoteli Mjini Unguja.

0 comments: