BATHDAY YA REDEMPTA NYAMWIZA RESPICIOUS KUTIMIZA MIAKA SITA

Redempta  nyamwiza akiwa katika furaha ya hafla fupi ya kuzaliwa kwake

Redempta  nyamwiza akiwa katika furaha ya hafla fupi ya kuzaliwa kwake (kulia)ni mdogo wake Regina respicious  pamoja na mama yao Diana boniface
Redempta  nyamwiza akiwa katika furaha ya hafla fupi ya kuzaliwa kwake (kati)ni mdogo wake Regina respicious  pamoja na mama yao Diana boniface na (klia)ni baba mdogo Egidius Boniphace.
Redempta  nyamwiza akiwa katika picha  ya pamoja katika  hafla fupi ya kuzaliwa kwake (kulia)ni rafiki waRedempta  (kati)ni mdogo wake Regina respicious  pamoja na   baba mdogo Egidius  Boniphace.
keki ya maandalizi ya hafla ya kuzaliwa kwake Redempta
Redempta akiupuliza mshuma ulio washwa ju ya keki yake.
Redempta akikata keki


Redempta akimlisha keki mdogo wake  Regina respicious
Redempta akimlisha keki  mama yake mzazi  Diana Boniface
Diana Boniface ambae ni mama yake mzazi wa Redempta akimlisha mwanae
Redempta Sr,Catherine ambae ni mwalim wa St.Joseph Nursery& primary school at kibada  kigamboni.


Redempta akigawa zawadi ya penseli kwa wanafunzi wenzake(picha na www.ujijirahaa.blogspot.com)

0 comments: