MASHINDANO YA KUTAFUTA VIKUNDI VITANO MAHIRI KWAKUCHEZA MUZIKI

 Kikundi cha sanaa cha Ikulu Vegas  kikicheza katika mashindano ya kutafuta  vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%'  yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam juzi. (PICHA ZOTE  NA KHAMIS MUSSA)

Kijana Edward Katunzi akitoa shoo kabla ya kuanza
 katika mashindano ya kutafuta  vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%'  yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Da



.Majaji Adam Juma (kulia) kushoto Super Nyamwela kutoka bend ya Exra Bongo na kati ni Lotesa Kiampa,Ambao walio ongoza mashindano ya kutafuta vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%' yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam juzi.
 Washindi wa Mwakajana T.Africa (TMK)Ambao nikikundi kilicho jinyakulia ML 5


Kikundi cha sanaa cha Mtwara Dance Wakitoa Shoo ya kubeba mwili wa marehem katika mashindano ya kutafuta  vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%'  yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam juzi.
 .Kikundi cha sanaa cha Ikulu Vegas  Wakitoa Shoo katika mashindano ya kutafuta  vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%'  yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam juzi.

Black Tixes wakijituma katika kuwania ML 5 katika mashindano ya kutafuta vikundi vitano mahiri kwa kucheza muziki wa aina mbalimbali 'Dance 100%' yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam juzi.


The choklet Wakiwa Katika shoo ya kujituma kunyakua ML 5 Katika staill ya kuvishana Flana  Kwa kumvua mmoja na kumvisha mwingine

0 comments: