SEND OFF YA LAURA MALIKI

 Laura katiaka tabasam ya furaa hivi karibuni
  1.  Laura akiwa Saloon ya Neria katika Maandalizi ya Shughuliyake ya Send Off
  Laura Katika Pozi na Matroni wake Mary Leiya
  Laura na Ndugu yake wakiwa katika furaha
  Laura na Kaka zake
 Laura Akiwaanaingia katika ukmbi wa River Side Hall
 Mama Mlezi wa Laura Akiwa na wafanyakazi wenzake wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
wakifurahi pamoja katika sherehe ya mtoto wao

   Laura  na Matroni wake Mary Leiya wakilishana keki  
  Laura  na wanakamati wa sherehe yake
 Laura na wanakamati wa sherehe yake
 Mama mlezi  Mrs Lymo Akitoa Nasaha
 Laura Akiwakabidhi keki wazazi wake walezi
 Wazazi katika picha ya pamoja na mweynekitipamoja na ndugu wa Laura
 Mama Mzazi wa Laura,Delphna Mbuya Akitoa nasaha  
 Baba Mlezi Akiwaongoza wazazi wa  Laura Kukata Ndafu
 Baada ya Kufunguliwa Shampeni  Laura Akimiminiwa kinywaji hicho
 Wazazi wakijianda Kugonganisha Glas
 Mama mzazi Akiwaongoza wageni waalikwa katika moja ya nyimbo za kichaga
 Laura Akimuongoza mumewe mtarajiwa  Amedeus Shine Katika chakula cha jioni

 Laura na Mpenzi wake  Amedeus Shine Katika pozi 
 Laura Akiwa Katika Tabasam

 LauraAkiwa Anapewa zawadi na Mama zake wadogo
 Mama mzazi kulia na Mama Mlezi kushoto wakiwa katika Piacha ya Pamoja
 Wanakamati wakipeleka zawadi yao katika kumtunza Bint yao  Laura
 Laura katika picha ya Pamoja na ndugu na wageni waalikwa 
                              
 Laura katika picha ya Pamoja na ndugu na wageni waalikwa                                  

0 comments: