VIONGOZI WAANDAMIZI WA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA MUHIMBILI MOI WAKIPATA MAELEZO TOKA KWA MWEZESHAJI DR JARAJ KIKULA

 Viongozi waandamizi wakipata maelezo kutoka kwa Dr jaraj  Kikula Ambae ni Mwezeshaji wa Semina ya kuunda Mpango mkakati wa Taasisi hiyo  wa Miaka mitano kuanzia 2013/ 2014 hadi mwaka 2017/2018,Dar es Salaam Mwanzoni mwa wiki (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)  











0 comments: