KIBANDA ALAKIWA NA WANAHABARI LUKUKI DAR


Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwapungia wanahabari wenzie mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea Afrika Kusini kufanyiwa matibabu ya jicho alilodhuriwa na watu wasiojulikana waliomvamia alipokuwa akiwasili usiku wa Machi 6, mwaka huu, nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam.Baada ya kuona umati wa wanahabari hao waliojitokeza kumlaki Alionekana akitokwa na Machozi na Wanahabari wengine kutokwa na Machozi. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Kibanda akilakiwa na Kiamu Mwenyekiti wa TEF, Makunga
Kibanda akilakiwa na bosi wake Hussen Bashe
Kibanda akilakiwa na wanahabari lukuki waliofika uwanjani hapo
Kibanda akihojiwa na wanahabari baada ya kuwasili
Kibanda akizungumza na wanahabari


Kibanda Akiongea na wanahabari mara alipo wasili katika kiwanja cha ndege cha Mwalim Nyerere Dar es Salaam
Kibanda akiondoka kwenda kupanda gari huku akisindikizwa na wahariri wenzie
 

0 comments: