Baadhi ya wauguzi wakimsikiliza kwamakini Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa alipokua akiongea pamoja na waagwa jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
Baadhi ya wauguzi wakipiga makofi baada ya Mkurugenzi wa Uuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam Agnes Mtawa kuongea jambo lililo wafurahisha wauguzi hao jana .
keki ilio andaliwa kwa maandlizi ya ishara ya kuagwa kwa wauguzi hao
Kwapamoja waagwa wakikata keki ilio andaliwa na wauguzi .
Waagwa wakimlisha keki Mkurugenzi wa wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mkurugenzi wa wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Agnes Mtawa Alievaa nguo ya blu Akigonganisha glas na Baadhi ya waagwa jana katika hiyo Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Agnes Mtawa Alievaa nguo ya blu akikabidhi zawadi kwa Mmoja wa waagwa Mrs Doroth Masense.
Baadhi ya viongozi wakisikiliza jambo toka kwa mkurugenzi wa wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
Picha ya pamoja ya waagwa na wauguzi wengine pamoja na mkurugenzi wa Uuguzi
Mkurugenzi wa wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Agnes Mtawa Alievaa nguo ya blu Akiwaongoza wauguzi kupata chakula
0 comments: