WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR AZINDUA KITUO CHA MAFUNZO YA VIJANA BWELEO ZANZIBAR
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:28 AMWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (kulia) akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab. akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: