MAMIA WAJITOKEZA JKCI KUFANYIWA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:44 AM Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wa kisoma jarida la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari bila malipo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Afisa Uuguzi waTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete( JKCI) Mali Sabuni akimpima shinikizo la
damu mwananchi aliyefika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini
Dar es Salaam
Daktari
kutokaTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Felister Mgare akimsikiliza mwananchi aliyefika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wamagonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini
Dar es Salaam
Mfamasia kutoka kampuni ya dawa za binadamu ya Zydus
Salome
Vitali akimwelezea namna ya kutumia dawa mwananchi aliyefika katika viwanja vyaTaasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini
Dar es Salaam
Daktari
bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George
Longopa akizungumza na baadhi ya wagonjwa waliowahikufanyiwa upasuaji wa moyo katikaTaasisi hiyo wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari bila malipo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vyaTaasisi hiyo leo Jijini
Dar esSalaam
Mjumbe kutoka chama cha Moyo ni Uhai (MOU) kinacho waunganisha wagonjwa waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Kabila Mbwama akiwaonesha wagonjwa wa moyo waliolazwa katika Taasisi hiyo sehemu aliyofanyiwa upasuaji wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari katika kuadhimisha siku ya moyo duniani leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: