UJUMBE WA KIUFUNDI KUTOKA KUWAIT WAWASILI NCHINI TANZANIA




Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akutana na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem Al-Najem   mjini Dodoma ili kujadili miradi ya Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait ambapo Ujumbe wa Kiufundi wa Mfuko huo uko ziarani hivi sasa nchini Tanzania
Waziri wa Fedha akutana na Balozi wa Kuwait mjini Dodoma ili kujadili miradi ya Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait ambapo Ujumbe wa Kiufundi wa Mfuko huo uko ziarani hivi sasa nchini Tanzania

0 comments: