NAIBU WAZIRI MPINA AENDELEA NA ZIARA VISIWANI ZANZIBAR
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:07 PM
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza Mratibu wa Kituo cha
Tume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar Bi Afua Mohammed akitowa maelezo
ya utendaji wa Tume hiyo wakati akiwasilisha Ripoti ya Utafiti
iliofanywa na Tume hiyo wakati wa ziara ya Mhe Luhaga, Mkutano huo
umefanyika katika Ofisi za Tume hiyo maruhubi Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akipitia Ripoti ya Tume ya
Sayansi na Teknolijia Zanzibar wakati wa ziara yake kutembelea miradi
inayosimamiwa na Tume hiyo ilioko Zanzibar.
Mratibu wa Kituo cha Tume Sayansi na
Teknolojia Zanzibar Bi Afua Mohammed akitowa maelezo kwa Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe, Luhaga Mpina
alipofika katika Kituo hicho maruhubi Zanzibar akiwa katika ziara yake
kutembelea miradi inayosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia
Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Muungano na
Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizunhgumza na waandishi wa habari Zanzibar
baada ya kumalizia mazungumzo yake na kupoata taarifa ya Utendaji wa
Kituo cha Tume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar katika ofisi zake
ziliko maruhubi Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muunganio na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akiwasili katika viwanja vya
Kituo cha Utafiti wa Kilimo Kizimbani Zanzibar kutembelea kituo hicho
kujionea shughuli zinazofanywa katika kazi za Utafiti wa Zao la Kilimo
Zanzibar.
Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo
Kizimbani Zanzibar Ndg Khatib Juma akitowa maelezo kwa Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina alipofika
Kituoni hapo kutembelea na kujionea shughuli za utafiti zinazofanya na
Kituo hicho.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akizungumza wakati wa ziara yake
katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo Kizimbani Zanzibar akiwa katika ziara
yake Zanzibar.
Mratibu wa Tume ya Sayansi na Teknolijia
Zanzibar Bi Afua Mohammed akitowa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina alipotembelea
Kituo cha Utafiti wa Kilimo Kizimbani Zanzibar.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizungumza wakati wa ziara yake
na wafanyakazi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Kizimbani akiwa katika
ziara yake kisiwani Zanzibar kutembelea Miradi inayofadhiliwa na Tume ya
Sayansi na Teknolojia Tanzania.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe, Luhaga Mpina akitembelea Kituo cha Utafiti wa
Kilimo Kizimbani Zanzibar akiwa na Mkuu wa Kituo hicho Ndg.Khatib Juma.
Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo
Kizimbani Zanzibar Ndg Khatib Juma akitowa maelezo kwa Naibu Waziri
Ofisi Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina wakiwa
katika maabara ya kituo hicho kizimbani Zanzibar wakati wa ziara yake.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akiangalia mpunga unaofanyiwa
utafiti katika Kituyo cha Utafiti wa Kilimo Kizimbani Zanzibar, akipata
maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo hicho Ndg Juma Khatib katikati.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akitoka katika Jengo la Kituo cha
Utafiti wa Kilimo Kizimbani Zanzibar akiwa katika ziara yake kutembelea
Miradi ilinayodhaminiwa na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Tanzania
katika utafiti wake.
Imeandaliwa na OthmanMapara.Blogspot.
othmanmaulid@gmail.com
Zanzinews.com
0715 424152.or 0777424152.
Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: