
MTOTO WA MIAKA 5 ALIYEBAKIZA MIEZI MIWILI YA KUISHI DUNIA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:19 PM
Mtoto huyu anaitwa, Bradley Lowery, ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Sunderland.Ana
miaka mitano na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi
miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake
futi 6 chini ya Ardhi.Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley.
Kitu
chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya
Krismasi, kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.
#Everybody dies but not everyone has lived..So sad
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: