MAZISHI YA MUHAMMAD ALI HUKO LOUISVILLE, KENTUCKY








 Maelfu ya waombolezaji wamefurika kwenye jengo la makaburi ya
Louisville, Kentucky, Marekani ambako Bingwa wa zamani wa masumbwi ya uzani wa juu Duniani, Hayati Muhammad Ali, anatarajiwa kuzikwa hapo jioni hii, Juni 10, 2016. Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton, anatarajiwa kutoa wasifu wa bondia huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa na kupendwa zaidi kuliko bondia mwingine yeyote.
Cave Hill











0 comments: