KUELEKEA MIAKA KUMI TA MJENJWA BLOG- IMEZALIWA SEPT 19, 2006


- JK Alikuwa Rais Wa Kwanza Wa Afrika Kufunguliwa Mlango Ikulu Ya Obama..
Msingi wa mahusiano mazuri kati ya Marekani na Afrika katika utawala wa Obama kwa kiasi kikubwa ulianza kujengwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete. Pichani ni ofisi ya Obama ' Oval Room', alhamisi, Mei 21, 2009. Kati ya Hillary Clinton na Donald Trump, mmoja wao, Trump, ameonyesha wazi kupitia hotuba zake, kuwa hana 'mahaba' na Afrika.
Maggid Mjengwa
Mhariri Online,
Mjengwablog.com/ KwanzaJamii
0754 678 252
Iringa.(P.T)

0 comments: