

Breking news
Aliekua mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba mh.Faki Dadi Faki amekutwa geust
akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa mchana huu, na inasemekana ni mtu na
mpenzi wake,ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha
leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi
(mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo) hayo yalifanyika katika
hotel ya excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: