SIMBA YAKAMWATWA NA POLISI UWANJA WA TAIFA

Beki wa Simba, Nassor Chollo, (no 2) akiruka kumdhibiti mshambuliaji wa Polisi Moro, Danny Mrwanda, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mcheo huo timu hizo zimetoka sare kwa kufungana bao 1-1. Simba ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia mchezaji wake, Emmanuel Okwi, katika dakika ya 32, na la Polisi likifungwa na Danny Mrwanda katika dakika ya 50 na kufanya matokeo kuwa 1-1.
Kikosi cha Simba....
Kikosi cha Polisi Moro....
Matokeo mengine ya Ligi Kuu ni kama ifuatavyo:-
AZAM FC 2- RUVU SHOOTING 0
MTIBWA SUGAR 3 -NDANDA FC 1
MBEYA CITY 1 -COASTAL UNION 0
MGAMBO SHOOTING 0 -STEND UNITED 1

0 comments: