Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
1:13 AM
KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha Aaron Ramsey, Jack
Wilshere na Mikel Arteta wote watakuwa nje wiki ijayo- maana yake
majeruhi hao wataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya
Galatasaray Jumatani.
watatu hao wote wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu ya England
dhidi ya Chelsea Jumapili ijayo, baada ya kuumia jana katika sare ya 1-1
na Tottenham Hotspur Uwanja wa Emirates.
Wenger amesema: "Sifahamua muda mrefu kiasi watakuwa nje, lakini
watakosekana wiki ijayo. Nafikiri Ramsey ni nyama (maumivu), na Arteta
ni misuli ya nyuma ya mguu. Wilshere ni kifundo cha mguu,"amesema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: