COLETHA MWANGAMILA AFUNDWA RASMI NA AKINAMAMA KATIKA UKUMBI WA CHICHI HOTEL

Mwenyekiti wa kamati ya Hafla ya Kitchen Party ya Coletha Mwangamila,Lilian Liyombo,(kulia) akiwa na mwandani wake ,ambaye ni Daktari  Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Edwin Liyombo.














Mama ,akikabidhiwa zawadi nwa mwanaye










Coletha Mwangamila, katika picha yapamoja na wafanyakazi wenzake

 Coletha Mwangamila,akiwa na madada wa mume wake mtarajiwa.
Mtangazaji wa Televisheni ya Sibuka, Coletha Mwangamila,(wa tatu kushoto) akiwa katka picha ya pamoja na Makungwi ,wakiongozwa na Mwatumu Baila, wapili kushoto,na somo mwenza wapili kulia Da, salma Omary.
Baadhi ya wafanyakazi wenzake na  Mtangazaji wa Televisheni ya Sibuka, Coletha Mwangamila,wakiwa wanakwenda kumtunza mfanyakazi huyo .
Coletha Mwangamila (kushoto), akikabidhiwa kapu la vyombo na mama yake mzazi Esther Mwangamila ,mara baada ya akinamama kumtunza mama yake.

Akinamama wakimtunza mama mzazi wa Coletha Mwangamila,ambaye ni Ofisa Elimu wa Manispaa ya Tabora, Esther Mwangamila, kwenye hafla ya Kitchen Party ya mwanaye.
 Mtangazaji wa Televisheni ya Sibuka, Coletha Mwangamila,(wa sita kushoto) akikabidhiwa Seti ya makochi na wanakamati wa hafla yake ya Kitchen Party,wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Lilian Liyomo (wa saba kulia).

Mc akiwa kazini

Coletha Mwangamila,akiwakabidhi Keki mawifi zake.
 Mtangazaji wa Televisheni ya Sibuka, Coletha Mwangamila  , akimkabidhi  Keki  mamayake mzazi ambaye ni Ofisa Elimu wa Manispaa ya Tabora, Esther Mwangamila ,kwakumpongeza kwa malezi kwenye hafla yake ya Kitchen Party.
Kake
Coletha Mwangamila
Coletha Mwangamila, akikata Keki kwa maandalizi ya kuwalisha wageni mbalimbali .




















 Ofisa Elimu wa Manispaa ya Tabora, Esther Mwangamila , akigonganisha Glas na Makungwi   katika  hafla ya Kitchen Party ya mwanae .
Mama na mototo wakigonganisha Glas .
 Coletha Mwangamila,akifungua Shampen,katika hafla yake .




Mwenyekiti wa kamati ya Hafla ya Kitchen Party ya  Coletha Mwangamila,Lilian Liyombo, akitoa neno .

Mjumbe wa kamati ya Ulinzi ,Askari Zimamoto na Uokoaji,Immaculata Ludan ,akitoa Sala ,kabla ya kianza hafla hiyo .
Mtangazaji wa Televisheni ya Sibuka ,Coletha Mwangamila, akiwa katika Picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya Kitchen Party ,katika ukumbi wa Chichi Hotel ,uliopo Kinondoni karibu na chuo kikuu huria,(Open University).













 Coletha Mwangamila,Lilian , katika pozi.

0 comments: