TANZANIA, ALGERIA KUANZISHA KAMPUNI ZA UBIA

2 
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Muhongo Wa kwanza kulia), akiongea jambo na wataalamu wa masuala ya gesi na umeme wa Algeria wakati walipokwenda kutembelea Mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gesi asilia wa HAMMA ,Mtambo huo wenye uwezo wa kuzalisha mewagati za umeme 418 unamilikiwa na Serikali ya Algeria kwa asilimia 100.
3
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo (Kushoto), akiongea na Waziri wa Viwanda na Migodi wa Algeria, Mhe. Abdessalem BOUCHOAREB.(Kulia) Mawaziri ambapo wamejadili maeneo ya ushirikiano katika sekta ya Madini. Katikakati ni mkalimani.

0 comments: