STARS SARE DHIDI YA MSUMBIJI UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:59 AM
Boniface Wambura akiteta jambo na viongozi wenzake kabla ya mchezo Taifa Stars na Timu ya Msumbiji leo.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmliliki wa Blog ya UJIJI RAHAA.
Mashabiki wakiwa na bango lenye ujumbe
Madaktari wa Timu ya Taifa Stars wakiwa makini katika kufatilia mpambano wa timu hizo, Joakim Mshanga,kulia na kushoto ni dr Billy Haonga
Mshambuliaji wa Taifa Stars , Khamisi Mcha ,akimtoka mchezaji wa Timu ya msumbiji Zainadine Junior
Doktari wa Taifa Stars Joakim Mshanga, akifunga kibendera baada ya kukatika ambapo Mpira ulisimama kwa dakika tano hadi ilipo fungwa kibendera hicho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: