RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA NEW ZEALAND HAPA NCHINI
Balozi
Mann akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya Balozi huyo
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete, wakwanza
kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi maalum Mhe. Prof. Mark J.
Mwandosya (Mb.)
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mhe. Richard Stuart Mann
|
Balozi Richard Stuart Mann akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu.
Balozi
Mann akisikiliza Wimbo wa Taifa lake ukipigwa kwa heshima yake mara
baada ya kuwasili Ikulu. Kulia ni Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi
Mohammed Juma Maharage na wakwanza kushoto ni Mnikulu, Bw. Shaaban
Gurumo.Picha na Reginald Philip
|
0 comments: