Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
11:43 PM
Miguu ya mtoto Brayan iliyochomwa na mama yake mzazi.
MTOTO,
Brayani Emanuel mwenye umri wa miaka sita, amenusurika kuuawa baada ya
mama yake mzazi Rose Mwanisisi Mkazi wa kitongoji cha Chemchem kilichopo
eneo la Mbalizi Mbeya vijijini, kujaribu kumchoma moto kwa kutumia
mifuko ya manila.Tukio
hilo limetokea Julai 16 mwaka huu, ambapo imeelezwa kuwa mama huyo
baada ya kurudi nyumbani kwake majira ya jioni hakumkuta mtoto,hivyo
aliaanza kumtafuta na alipompata alimfungia ndani na kisha kumchoma moto kwa kutumia mifuko ya manila.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: