Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
1:22 AM
Bondia
Japhert Kaseba kushoto akizungumza katika mkutano wa kwanza wa umoja wa
kusaidiana katika mambo mbalimbali kwa mabondia wengine ni Habibu
Kinyogoli ‘masta’ Fransic Miyeyusho na Thomas Mashali picha na www.superdboxing coach.blogspot.com
Bondia Said
Chiddy kushoto akizungumza wakati wa mkutano wa umoja wa mabondia kwa
ajili ya kusaidiana katika mambo mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa
Vijana Kinondoni jana picha nawww.superdboxing coach.blogspot.com
Mmoja wa wadau wa mchezo wa masumbwi nchiniKhalifa
Kiumbe Moto kushoto akichangia mada wakati wa mkutano wa kuunda umoja
wa mabondia uliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam
picha na
Bondia
Japhert Kaseba akizungumza kabla ya kufunga mkutano huo aliouitisha kwa
ajili ya kuunda umoja wa mabondia kusaidiana kwa mambo mbalimbali picha
na
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: